×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Uharibifu wa Reli nchini Kenya

4th June, 2012

Usafiri wa magarimoshi nchini Kenya sasa unatishwa kungamizwa na sakata ambayo imechipuka ya watu kupokea shilingi milioni saba kila mwezi kwa kung'oa, kukata na kuuza reli au vyuma vyake. Japo mwanahabari John Juma anajaribu kufichua uozo huo, maswali mengi kuhusu wahusika ni kina nani na hatua zinazochukuliwa kudhibiti hali hiyo yangali yamegubikwa na giza totoro.
.
RELATED VIDEOS