×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

APK yasaka mwenyekiti

26th May, 2012

Chama cha Alliance Party of Kenya, maarufu kama mbasi, bado kinamsaka dereva, baada ya vigogo wa kisiasa wakuu waliokuwa wakihusishwa na muungano huo kuonekana kuupa kisogo. Katika uzinduzi wa leo, uhuru kenyata,kalonzo musyoka na george saitoti hawakuwepo, lakini mwenyekiti wa APK, Kiraitu Murungi anasema bado wako ndani ya mbasi, swali kuu hapa mbona hawakuhuduria? Uzinduzi huo ulihudhuriwa na wabunge 10, pekee.
.
RELATED VIDEOS