×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kenya: EPZ kutenga maeneo ya viwanda

23rd May, 2012

Serikali imetangaza kubuniwa kwa maeneo maalum katika miji ya Lamu, Mombasa na Kisumu yatakayotumika kama maeneo ya viwanda vya bidhaa za kusafirishwa nje. Haya yalitangazwa katika warsha iliyowaleta pamoja wawakilishi kutoka barani Afrika, pasifiki na visiwa vya Carribean. Lengo kuu ikiwa ni kujadili maeneo yatakayotumika kama vitega uchumi katika mataifa husika. Esther kahumbi na taarifa hiyo.
.
RELATED VIDEOS