×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jamii ya Talai yataka ardhi mbadala

22nd May, 2012

Jamii ya Talai wazawa wa mkoa wa Rift Valley imetaka serikali kutatua kesi yao ya kuhamishwa kwa nguvu na wakoloni miaka ya 1890 hadi huko Nyanza katika eneo la Gwasi. Aidha wameishinikiza serikali kuwapa ardhi mbadala baada ya kupoteza ardhi yao wakati wa ukoloni. Vile vile wameitaka serikali ya uingereza kuwaomba radhi kwa kuvuruga utulivu wa maisha yao nyakati za ukoloni. Jamii hii ya talai iliyokuwa na kiongozi wa kinandi mmoja wao akiwa Koitalel arap Samoei ilifurushwa kutoka rift valley na mkoloni kwa kupinga sera zao miaka ya 1800.
.
RELATED VIDEOS