x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kovu za stahamala - sehemu ya pili

25, Apr 2012

Madhila waliofanyiwa wakaazi wa mlima Elgon ni moja tu ya sababu za kovu walizoachwa nazo. Vidonda ndugu vikiwa vile vya kukosa vipande vya mashamba. Lakini kundi hili la Sabaot Land Defence Force lilibuniwa vipi na wafadhili walikuwa nani? Wanahabari walioshiriki katika kutoa habari kutoka mlima Elgon wana yepi ya kusema? Mwanahabari Saida Swaleh anatuelezea katika sehemu ya pili na ya mwisho ya kovu za stahamala- mlima elgon

RELATED VIDEOS


Feedback