×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wells Fargo yaporwa Sh36m

31st March, 2012

Msako mkali umeanzishwa kote nchini dhidi ya majambazi sita waliovalia sare ya polisi na kupora kampuni ya Wells Fargo Sh36m.  Pesa hizo zilizonuiwa kusafirishwa hadi garissa ziliambulia mikononi mwa majambazi hao katika operesheni iliyopangwa kisasa katika maeneo ya Juja. Mohammed Ali anatuarifu zaidi.
.
RELATED VIDEOS