.
29th March, 2012
Kocha wa klabu ya Ulinzi Stars Benjamin Nyangweso hatoendelea katika wadhifa huo kwani ameelekea mafunzo zaidi kutokana na taarifa ya jeshi.huku hayo yakijiri, ligi ya vijana wasiozidi miaka 17 ya copa coca cola ikizinduliwa huku shirikisho likiupania kufuata kwa kina wachezaji chipukizi hawa ndiposa wafanye kazi kwa timu ya taifa siku za usoni.