Karume "son" loses paternity case
29th February, 2012
Mwendazake James Njenga Karume atazikwa jumamosi wiki hii kama ilivyopangwa. Hii ni baada ya Edwin Thuo ambaye alijitokeza kwa madai yakuwa mwanawe alipopoteza kesi dhidi ya mkewe Marehemu Grace Njoki Karume.