×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

John Michuki legacy

15th February, 2012

Akilinganishwa na mawaziri wengine serikalini john michuki alikuwa mwenye sifa za kipekee na zilizompa umaarufu mkubwa.kulingana na wengi hali hiyo ilitokana na ukakamavu wake katika utendakazi hasa alipokuwa waziri wa uchukuzi, aliporejesha nidhamu katika sekta ya matatu. ingawa aliibua hisia na shutma mbali mbali katika wizara ya usalama alipolikabili kundi haramu la mungiki- wengi wanakubali kila wizara michuki aliingia kulikuwa na mabadiliko.
.
RELATED VIDEOS