22nd February, 2012
Kampuni ya pima gas ambayo majuzi ilizindua mfumo mpya wa kutoa gesi ya kupikia kwa mwananchi wa kawaida kwa bei ya unafuu, sasa, imetoa wito kwa watoaji leseni wa kimataifa wasiruhusu shirika lengine kuuanzisha mfumo wa biashara kama huo bila ya idhini yao