Darubini: Jua Kali
14th February, 2012
Mtazamaji makala yetu ya darubini hii leo yanamuangazia mwanamuziki ambaye wengi wanamfahamu kama mfalme wa genge. Si mwengine bali ni balozi wa simu ya motorola au ukipenda paul ndunda maarufu kama ni jua cali. Anasema furaha yake ni mziki kwani kwa kiwango fulani umebadilisha maisha yake, kupitia sanaa hii.