Serikali imeharibu shehena ya mchele na supagetti ghushi :Ktn Leo full bulletinSerikali imeharibu sh

KTN Leo | Wednesday 16 May 2018 7:43 pm
 
Serikali imeharibu shehena ya mchele na supagetti 
zinazoaminika kuingia nchini kinyume cha sheria. Konteina 
hizo 10 ni kati ya 163 zilizotambuliwa kuharibiwa.francis 
mtalaki na maelezo kutoka Mombasa