Uhamisho wa walimu wakuu wa shule nchini

Leo Mashinani | Wednesday 16 May 2018 12:42 pm

Vyama vya KNUT na KUPPET vyateteta kutokana na uhamisho wa walimu wakuu nchini. Hii ni baada tume ya TSC kufanya maamuzi ya uhamisho wa walimu bila ya makubaliano na vyama hivyo