Chipukizi wajitayarisha kwenye mashindano yatakayoandaliwa nchini Algeria

Sports | Tuesday 13 Mar 2018 7:55 pm

Bingwa wa Afrika katika mbio za kina dada za chipukizi Miriam Cherop amedai kwamba hamu yake mwaka huu ni kuhifadhi taji  la bara Afrika kwenye mashindano yatakayoandaliwa nchini Algeria. Chipukizi huyo anatarajia upinzani mkali kutoka kwa wanariadha kutoka uhabeshi.