Klabu ya Wazito FC inajiandaa kuchuana na AFC Leopards

Sports | Tuesday 13 Mar 2018 7:54 pm

Klabu ya Wazito FC inajiandaa kuchuana na AFC Leopards katika mojawapo ya mchuano unaotarajiwa kuwa mgumu hapo kesho.