Kazi ya wabunge wa upinzani wa NASA

KTN Leo | Wednesday 14 Feb 2018 8:01 pm

Je, muungano wa NASA umetelekeza wajibu wao wa kudhibiti upande wa serikali bungeni hususan kwa kususia vikao vya kujadili na kupiga msasa wateulewanaopendekezwa na serikali?mwanahabari Geff Kirui amelivalia njuga suala hilo