Mike Madoya wa Zoo Kericho FC ashinda taji ya mchezaji bora zaidi

KTN Leo | Saturday 13 Jan 2018 8:00 pm

Mchezaji wa zoo kericho,  kikosi ambacho kilimaliza katika

 nafasi ya 12 kwenye ligi kuu ya kandanda msimu uliopita,

 ndiye aliyeteuliwa mchezaji bora zaidi kwenye msimu

 uliopita. Madoya aliwapiku wapinzani wenzake ikiwemo

 meddie kagere wa Gor mahia na Patrick Matasi