×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mahakama yaagiza Paul Murage aliyekiri kuwaua mkewe na watoto wanne kuzuiliwa kwa siku 14 zaidi

1st December, 2021

Paul Njuki Murage, mwanaume ambaye alikiri kwa polisi kuwa amemuua mkewe na wanawe wanne atazuiliwa katika kituo cha polisi cha Kirinyaga kwa siku kumi na nne zaidi. 

Hii ni baada ya upande wa mashtaka kuwasilisha ombi la kutaka azuiliwe ili kutoa muda wa kukamilisha uchunguzi. 

.
RELATED VIDEOS