Zilizopendwa: Simulizi la maisha ya Fumo Lyongo lasimuliwa
15th November, 2015
Taarifa ifuatayo inamhusu mwanaume ambaye maisha yake yanatiliwa shaka kutokana na maumbile yake. Ila kama anavyotueleza mwanahabari wetu Saida Swaleh aliyesafiri hadi kwenye kaburi lake, huenda kuwa alikuwepo katika karne ya kumi na tatu. Hii hapa simulizi kuhusu Fumo Lyongo.