Serikali ya Kenya Kwanza imeahidi kurejesha bajeti ya Shirika la Msalaba Mwekundu kama ilivyokuwa miaka ya awali ili kufanikisha shughuli zake nchini.
Kutokana na hilo, Rais William Ruto sasa ameahidi kulitengea shirika hilo kima cha shilingi milioni mia moja 100 katika bajeti ya mwaka wa kifedha wa 2023/2024.