Kampuni ya huduma za simu ya Safaricom sasa imedokeza kuwa wateja wake amabao wamesajiliwa kwa huduma za malipo ya baadaye au post pay na wale wanotumia huduma ya m-pesa hawatalazimishwa kujisajilisha tena katika mpango wa usajili wa laini za simu amabao unaendelea kwa sasa.