×
App Icon
The Standard e-Paper
Smart Minds Choose Us
★★★★ - on Play Store
Download App

Budalangi assessment

Shirika la msalaba mwekundu limeripoti kuwa zaidi ya watu 15 wamefariki na wengine 75,000 wamepoteza makao yao na kulazimika kuwa wakimbizi wa ndani kwa ndani baada ya kuathirika pakubwa na mafuriko yaliyoathiri sehemu nyingi humu nchini. Familia nyingi zimepoteza rasili mali zao huku ikihofiwa kuwa endapo suluhu ya kudumu haitapatikani basi, maafa ya mafuriko yatazidi kuathiri wengi miaka nenda miaka rudi.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Fact‑first reporting that puts you at the heart of the newsroom. Subscribe for full access.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in

Related Topics

Budalangi assessment