Mystery Uni student murder

Wannabes
Habari zinazozingira kifo cha Mercy Chepkosgei Keino aliyekuwa akisomea shahada uzamili katika chuo kikuu cha Nairobi zinaendelea kujitokeza. Huku polisi wakiendeleza uchunguzi rafikize Mercy waliokuwa wamemwalika katika sherehe hiyo nyumbani kwao huko Westlands wanadai mwendazake aliondoshwa mara mbili na walinzi baada ya kuvunja glasi katika nyumba hiyo. Maafisa wa polisi wamemhoji mbunge wa Juja William Kabogo anayedaiwa kuhudhuria sherehe hiyo. Johana Chacha na ripoti kamili.
Business
NCPB sets in motion plans to compensate farmers for fake fertiliser
Business
Premium Firm linked to fake fertiliser calls for arrest of Linturi, NCPB boss
Enterprise
Premium Scented success: Passion for cologne birthed my venture
Business
Governors reject revenue Bill, demand Sh439.5 billion allocation