Steadman Opinion Poll
Wannabes
By The Standard Business
| Mar 31, 2010
Zaidi ya asilimia sitini ya wakenya hawaielewi rasimu ya katiba. Hii ni kwa mujibu wa matokeo ya utafiti uliofanywa na kampuni ya synovate yaliyotolewa leo.Utafiti huo pia umeonyesha kwamba wakenya wanakabiliwa na hali ngumu za kiuchumi na kutaka ufisadi kukomeshwa haraka.
Share this article on social media