×
App Icon
The Standard e-Paper
Join Thousands Daily
★★★★ - on Play Store
Download App

IEBC yasisitiza kwamba haitabadili orodha ya viongozi walioteuliwa katika uchaguzi uliokamilika

Tume ya Uchaguzi nchini IEBC imesisitiza kwamba haiwezi kubadili orodha ya watu walioteuliwa na vyama mbalimbali kujaza nafasi za wawakilishi wadi na wabunge maalum katika Bunge la Kitaifa na Seneti.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa IEBC, Wafula Chebukati uteuzi huo uliofanywa kwa mujibu wa sheria ambapo vyama vyote viliwasilisha majina kwa IEBC kabla ya uchaguzi.

Premium Article

Get Full Access for Ksh299/Week.

Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
Continue Reading  →
What you get
  • Unlimited access to all premium content
  • Ad-free browsing experience
  • Mobile-optimised reading
  • Weekly newsletters & digests
Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payments Kenya's most trusted newsroom since 1902