Please enable JavaScript to view advertisements.
×
App Icon
The Standard e-Paper
Smart Minds Choose Us
★★★★ - on Play Store
Download App

Watu wawili wakamatwa na Misokoto ya bangi Shanzu

Maafisa wa Polisi wanawazulia watu wawili waliokamatwa katika Eneo la Shanzu Kaunti ya Mombasa wakiwa na misokoto ya bangi. Kamanda wa Polisi kwenye kaunti hiyo, Johnson Ipara amesema wawili hao walikamatwa kwenye msako ulioendeshwa katika eneo hilo mapema leo kuwanasa walangunzi na wafanyabiashara wa dawa za kulevya.

Amesema wawili hao Cynthia Achieng na Frederick Ogutu walikuwa wameisafirisha misokoto hiyo yenye thamani ya shilingi elfu 682, 000 kutoka Kaunti ya Migori na walikuwa wanalenga kuiuza kwenye Kaunti za Mombasa, Kilifi na Kwale.

Premium Article

Get Full Access for Ksh299/Week.

Uncover the stories others won't tell. Subscribe now for exclusive access.
Continue Reading  →
What you get
  • Unlimited access to all premium content
  • Ad-free browsing experience
  • Mobile-optimised reading
  • Weekly newsletters & digests
Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payments Kenya's most trusted newsroom since 1902
Support Independent Journalism

Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.

Journalism can't be free because the truth demands investment. At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate, factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the pursuit of credible journalism.

Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payment Kenya's most trusted newsroom since 1902

Follow The Standard on Google News

Related Topics