John Baraza alieyestaafu sasa ni naibu mkufunzi wa Sofapaka
4th February, 2016
Mapema mwaka huu, John Baraza aliamua kustaafu kucheza kandanda na kujiunga na benchi la kiufundi kama naibu mkufunzi wa klabu ya sofapaka. Baraza ambaye alikuwa mshambuliaji mahiri amefunga mabao zaidi ya 150 katika vilabu alivyochezea humu nchini na pia timu ya taifa na kushinda mataji kadhaa.