Vita ya ma ex ni ya nini saa zote?
Kuna wasee wengi sana wako juu ya mapenzi lakini wanaumia, wasee wengi sana wako juu ya ndoa lakini wanalia kulia ile serious...
Kuna wasee wengi sana wako juu ya mapenzi lakini wanaumia, wasee wengi sana wako juu ya ndoa lakini wanalia kulia ile serious...
Mabibi wengine sareni wivu, kama mtu alikupenda kwa nini usimuamini, eti mzee akitoka unafikiria ako na mwanamke mwingine, sio wanaume wote huhanya...