Hoja za Wahariri Podcast; Mahakama Kuhusu BBI

Your browser doesn’t support HTML5 audio

Suala la majaji watano wa Mahakama Kuu kuharamisha mchakato wa kuifanyia katiba marekebisho limechochea gumzo. Aidha, walisema kwamba Rais Kenyatta alikosea katika kuanzisha mchakato wa kuirekebisha katiba badala ya kuanzishwa na wananchi, vilevile kwamba anaweza kushtakiwa. Je, huo ulikuwa uamuzi wa kisheria au kisiasa? Wahariri wetu, Geoffrey Mung'ou, Zubeida Koome na mwanahabari nguli, Duncan Khaemba wamelizamia suala hili kwa kina.

Share this episode
Rabies-like disease in sheep & goats | Farming Podcast
Coenurosis is a disease of the central nervous system in sheep, caused by Coenurus cerebralis, the l...
Fedha za Elimu: Hatari kwa Maendeleo ya Elimu ya JSS
Shule zinapofunguliwa kwa masomo ya muhula wa pili, Sepetuko inairai serikali kuangazia masuala kadh...
.
RECOMMENDED NEWS