HOJA ZA WAHARIRI PODCAST; Kivumbi kati ya Jubilee na UDA Kiambaa na Muguga
Hoja za Wahariri
Jul. 20, 2021
Baada ya chama kipya cha UDA kushinda uchaguzi mdogo wa ubunge kwenye eneo la Kiambaa, kisha Jubilee kukishinda kiti cha uwakilishi wadi Muguga, kivumbi kinatifuka; UDA inaelekea mahakamani kutaka kura za Muguga zihesabiwe upya huku nayo Jubilee ikitaka kura za Kiambaa zihesabiwe tena. Aidha, nani ana ufuasi mkubwa Mlima Kenya baina ya Uhuru Kenyatta na William Ruto? Kuelekea 2022, farasi watakuwa wawili au watatu? Wahariri, Geoffrey Mung'ou na Odeo Sirari wanamshirikisha mwanahabari Victor Mulama aliyekuwa mashinani kuangazia chaguzi hizo, katika kujadili kwa kina masuala haya.
RELATED EPISODES
Vita vya Urusi na Ukraine; athari kwa dunia
Mzozo wa Urusi na Ukraine; Mohamed Abdul-Rahman anachambua
Hoja za Wahariri: Kitendawili cha mili Mto Yala - ndani ya magunia
Rabies-like disease in sheep & goats | Farming Podcast
Coenurosis is a disease of the central nervous system in sheep, caused by Coenurus cerebralis, the l...Fedha za Elimu: Hatari kwa Maendeleo ya Elimu ya JSS
Shule zinapofunguliwa kwa masomo ya muhula wa pili, Sepetuko inairai serikali kuangazia masuala kadh...LATEST PODCAST
-
Crisis Management: Is Ksh 10,000 Enough? Exploring Flood Relief Efforts
-
Shaping Tomorrow: The 7th Annual Africa Conference on Social Entrepreneurship at Tangaza University
-
Mipango ya Kupambana na Ufisadi Kutoka Fiji hadi Kenya: Kesi ya Frank Bainimarama
-
MARTHA KARUA: Ruto's Is Trying To Prevent The People of Mt. Kenya From Coming Together.
-
Sakata ya mbolea ghushi: Kesi ya Waziri Mithika Linturi