x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wakaazi wa Laikipia na Baringo wafaidika kutokana na ujenzi wa barabara ya Karandi

11, Jun 2021

Ujenzi wa barabara inayounganisha karandi katika kaunti ya Laikipia na Marigat katika kaunti ya Baringo, utakamilika baada ya mwezi julai mwaka ujao. Mradi huo ambao umefanyika kwa asilimia 55 kwa sasa unagharamiwa na serikali kuu na unatarajiwa kuimarisha hali ya maisha ya wakazi wa Baringo kusini. Huyu hapa mwanahabari wetu Ibrahim Karanja na mengi kuhusu mradi huo wenye gharama ya shilingi bilioni tano.  

POPULAR NEWS VIDEOS


Feedback