x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Shirika la maendeleo ya wanawake yakosoa Mutunga na Maraga kwa kuingilia jaji mkuu Martha Koome

11, Jun 2021

Kujitokeza kwa waliokuwa majaji wakuu dkt Willy Mutunga na David Maraga kutetea idara ya mahakama dhidi ya kushambuliwa na uteuzinwa majaji kumeanza kuibua hisia kali na masuali chungu nzima ya ni kwanini wawili hao wamejitokeza kwa njia hiyo inhali kuna jaji mkuu Martha Koome anayefaa kuwa mstari wa mbele kushughulikia haya Maendeleo ya wanawake wamekashifu wawili hao kwa kile wanachodai ni kudhalalishwa kwa koome na wawili hao kwa kuwa ni mwanamke.  

POPULAR NEWS VIDEOS


Feedback