×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ulimwengu unaadhimisha siku ya Fistula; ugonjwa huo huwaathiri sana wanawake

23rd May, 2021

Inajulikana kama ugonjwa wa aibu. Wanawake wengi wanaogua Fistula hujitenga kutoka kwa wakati, na mara nyingi hukumbwa na msongo wa mawazo kutokana na ugonjwa huo. Dunia inapoadhimisha siku ya kudhibiti ugonjwa wa Fistula, ufahamu kuhusu ugonjwa huu utasaidia kuhamasisha wanawake haswa walio mashinani kutafuta huduma za afya kwa sasa kenya inakumbwa na uhaba wa madaktari wa upasuaji wa Fistula, huku visa vingi vya fistula vikikosa kupata suluhu. Fistula ni ugonjwa ambao husababisha shimo kubwa kati ya njia ya uzazi na njia ya mkojo unatokana na mama kuwa na uchungu wa muda mrefu bila matibabu. 

.
RELATED VIDEOS