9th March, 2021
Mojawapo ya washiriki wa mashindano ya magical Kenya open Dismas Indiza alinidokezea kwamba yupo tayari na kwamba wachezaji wa Kenya anatumai wataingia katika mabano ya wachezaji kumi bora mwaka huu. Mashindano hayo yatakayoandaliwa kati ya tarehe 18?21 mwezi huu wa machi yatapeperushwa mubashara KTN.