×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Sarakasi ndani ya chama cha Ford Kenya, Rais Magufuli na Kagwe wakerwa na mambo fulani| Mirindimo

5th June, 2020

Hii leo kwenye makala yetu ya kila ijumaa ya mirindimo tunaangazia sarakasi ndani ya chama cha Simba cha Ford Kenya ambapo viongozi wake wamekuwa wakioneshana ubabe wa nani mkali haswa kwenye wadhfa wa urathi wa chama hicho. Halikadhalika msimamo wa mbunge wa Ugenya David Ochieng umeonekana kumkeketa maini mwenyekiti wa chama cha ODM John Mbadi huku waziri Kagwe na Rais John Pombe Magufuli wakioenkana kukerwa na mambo fulani.

.
RELATED VIDEOS