5th June, 2020
Jamaa mmoja katika kaunti ya Tharaka Nithi amewaacha wengi na butwaa baada ya kupatikana ndani ya kisima kikavu siku 13 tangu kutoweka. Royfod Mugambi aliye na matatizo ya kiakili sasa amesalia nyumbani huku familia yake ikitaka msaada wa kumpeleka hospitalini