×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ufunguzi wa shule kutegemea ushauri wa madaktari na wataalam wa afya, akiri Magoha

29th May, 2020

Waziri wa elimu, Profesa George Magoha, leo hii ameipokea ripoti kutoka kwa kamati aliyoiteua kuangazia athari za janga la korona kwa sekta ya elimu. Japo Magoha amefafanua kwamba mapendekezo kwenye ripoti hiyo ni kauli na hoja kutoka kwa wadau mbalimbali, amekariri kwamba ufunguzi wa shule utategemea zaidi ushauri wa madaktari na wataalam wa afya.

.
RELATED VIDEOS