Mchango wa KMTC: KMTC yawapa msaada watu

KTN News May 22,2020


View More on Dira ya Wiki

Mwenyekiti wa baraza la taasisi ya mafunzo ya utabibu, KMTC, Prof Philip Kiloki amesema chuo hicho na vingine vyote nchini vitazidi kutoa misaada ya chakula kwa makundi yasiyobahatika katika jamii haswa wakatii huu wa janga la korona. Alisema hayo wakati wa kutoa chakula kwa makao ya watoto hapa Nairobi.