22nd May, 2020
Timu za voliboli ya ufuoni nchini zimejipata pabaya baada ya kushindwa kusafiri kwa mechi ya mchujo wa raundi ya pili ya mashindano ya olimpiki nchini nigeria kufuatia janga la korona. Kutokana na dharura hiypo, kenya huenda ikapewa fursa nyingine na bodi ya kimataifa ya voliboli ufuoni