×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Uhaba wa maji Nairobi : Mitaa ya mabanda yaathirika zaidi

22nd May, 2020

Wakazi wa nairobi katika mitaa ya mabanda wanaendelea kukumbana na ukesu wa maji. Mitaa iliyoathirika sana ni Kawangware, Mathare, Kibra na Mukuru.  shirika la shinning hope na kampuni ya safaricom wameshirikiana kusambaza maji ambayo yanakisiwa yatawatosheleza kwa siku 45 pekee, huku wahusika wa usambazaji wa maji jijini wakitakiwa kuwajibika.

.
RELATED VIDEOS