×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Sarakasi na vituko vinavyoendelea humu nchini kipindi hiki cha korona: Mirindimo

22nd May, 2020

Hii leo kwenye makala yetu ya kila ijumaa ya mirindimo tunaangazia sarakasi na vituko vinayoendelea humu nchini hususan katika kipindi hiki wakenya wanapambana na homa kali ya korona. Afisa mkuu mshirikishi wa eneo la bonde la ufa George Natembeya akiwaonya machifu kwamba watabeba msalaba wa ujauzito huku mzee Jackson Kibor akitaka kuwafanyia wanawe vipimo vya chembechembe za urathi yaani DNA.

.
RELATED VIDEOS