×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Waislamu wahimizwa kuswali majumbani mwao wakati wa kusherehekea siku kuu ya Idd

22nd May, 2020

Jamii ya waislamu wakiadhimisha ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhan baraza kuu la waislamu SUPKEM limewaonya jamii ya waislamu dhidi ya kuvunja maagizo ya kutokongamana yaliyowekwa na serikali kudhibiti kuenea kwa virusi vya homa ya korona. Mwenyekiti wa SUPKEM Hassan Ole Naado amewahimiza waislamu kuswali majumbani mwao wakati wa kusherehekea sikukuu ya IDD inayotarajiwa kufanyika siku ya Jumamosi au Jumapili.

.
RELATED VIDEOS