KNUT na UASU wapinga mapendekezo ya kufunguliwa kwa shule
22nd May, 2020
Mdahalo kuhusu kufunguliwa kwa shule nchini umeendelea kupamba moto. Sasa darubini itakuwa ikielekezwa kwa kamati inayoshughulikia namna ya wanafunzi kurejea shuleni, baada ya muda wa kuchukua maoni ya umma kutamatika leo.