2nd March, 2020
Kaunti Ya Taita Taveta Imekumbatia Masomo Ya Chekechekea. Hatua Ambayo Imeshuhudia Kukua Kwa Idadi Ya Watoto Waliojiunga Na Shule Kwa Zaidi Ya Watoto 4000 Kutoka Mwaka Wa 2014 Sasa Wamefikia 11,000. Kaunti Ya Taita Taveta Aidha Inalenga Kuwaajiri Walimu 600 Ili Kuufanikisha Mopango Huo. Waziri Wa Elimu Daniel Makoko Alitoa Taarifa Hiyo Wakati Wa Mkao Na Wanahabari Ulioandaliwa Na Shirika Lisilo La Serikali La Their World Ambalo Linazingatia Miaka Ya Kwanza Ya Watoto Kuwa Muhimu Mno Kwa Maendeleo Ya Na Makuzi Yao.