Wafanyikazi wa Serikali ya Kaunti wasusia kazi, Majaa ya taka yamerundikwa kote jijini Nairobi

KTN News Mar 02,2020


View More on Leo Mashinani

Majaa Ya Taka Yamerundikwa Na Kutapakaa Katika Maeneo Mbali Mbali Jijini Nairobi Huku Habari Zikiibuka Kuwa Wafanyakazi Wa Serikali Ya Kaunti Wanafanya Mgomo Baridi.