Wabunge wa Tanga Tanga wahudhuria Hafla ya BBI huko Meru, Raila Odinga aliiongoza shughuli hiyo

KTN News Feb 29,2020


View More on KTN Leo

Kiongozi Wa ODM Raila Odinga Ameongoza Mkutano Wa BBI Katika Uwanja Wa Kinoru Huko Meru Uliohudhuriwa Na Viongozi Tofauti Tofauti Wa Vyama Vya Siasa Akiwemo Gideon Moi, Alfred Mutua, Moses Wetangula, Musalia Mudavadi Miongoni Mwa Wegine. Jamii Za Gema Ziliwasilisha Maazimio Yao Yaliyowasilishwa Kwa Mwenyekiti Wa Jopo Kazi La BBI Yussuf Haji.