Wafuasi wa makundi hasimu wazozana, mkutano wa BBI Garissa ulijadili matatizo kaskazini

KTN News Feb 23,2020


View More on KTN Leo

Viongozi Kutoka Eneo La Kaskazini Mashariki Sasa Wanataka Uongozi Wa Bunge Kumshinikiza Waziri Wa Elimu Prof George Magoha Afike Mbele Ya Kamati Ya Elimu Na Kueleze Kwa Nini Eneo Hilo Lina Uchache Wa Walimu. Viongozi Hao Ambao Walihudhuria Mkutano Wa Bbi Katika Kaunti Ya Garissa Walidai Kuwa Viwango Vya Elimu Katika Eneo Hilo Vimedidimia Tangu Idadi Kubwa Ya Walimu Kuhamishwa Kutokana Na Ukosefu Wa Usalama.