Raila akutana na viongozi wa wa jamii Maasai kwa maandalizi ya mkutano wa BBI

KTN News Feb 17,2020


View More on KTN Leo

        Baada ya mapumziko ya majuma mawili ya maombolezo ya hayati mzee daniel moi ,mkutano ujao wa bbi utaandaliwa katika kaunti ya narok jumamosi hii ya tarehe 22. Kiongozi wa ODM Raila Odinga alikutana na viongozi wa jamii ya maa kutoka kaunti saba kupanga mkutano huo.  Anavyoarifu mwanahabari lofty matambo huenda kunanukia mvutano wa ni nani anayefaa kuiongoza kamati ya shughuli hiyo siku tano kabla.