.
16th February, 2020
Wakazi Wa Vijiji Vya Karabari, Muminji Na Karimari Eneo La Mbeereya Kaskazini Kaunti Ya Embu Leo Walishindwa Kwenda Kanisani Kutokana Na Uvamizi Wa Nzige Ambao Wanaendelea Kusabisha Uharibifu Wa Mimea Katika Mashamba Yao. Wakaazi Hao Waliamua Kupambana Na Wadudu Hao Wakitumia Mbinu Mbali Mbali Kuwafukuza. Haya Yalijiri Huku Waziri Wa Kilimo Peter Munya Akifanya Ziara Kaunti Za Embu, Meruna Isiolo Kukadiria Hasara Iliyosababishwa Na Nzige Hao Wa Jangwani.