14th February, 2020
Aliyekuwa Waziri Wa Michezo Rashid Echesa Amefikishwa Asubuhi Hii Mbele Ya Hakimu Wa Mahakama Uwanja Wa Ndege Wa Jkia Na Kusomewa Mashtaka Ya Ulaghai. Echesa Amekanusha Mashtaka Hayo. Hapo Jana Echesa Alikamatwa Akihusishwa Na Kesi Ya Ulaghai Kuhusu Kandarasi Ya Ununuzi Wa Silaha.